MAHITAJIunga wa ngano kiasi chochotechocolatemaji au maziwa nusu litavanila au maganda ya limaosiagichumvi au sukarimayaibakulia ya kuchanganyia
jinsi ya kupika keki ya chocalate
JINSI YA KUCHANGANYA
unachukuwa bakuli yako unaweka siagi ama blue band unaikoroga mpaka itakapo chanaganyika vizuri kisha unaweka yai moja moja alaf unakoroga vizur unaongeza mayai mengine unaangalia mayai kama ulikuwa nayo zaidi ya matatu bas unaweka yote au zaidi kisha unaweka unga wako huku unakoroga vizur unaweza kutumia mashine ya kukorogea vzr au unaweza kutumia kifaa chochote cha kurogea kisha unaweka vanila au maganada ya limao alaf unaweka chocolate yako ukiwa umeiyeyusha vizuri alafu unakoroga vizuri kisha unaweka chumvi au sukari ukiona uji wako bado mzito unaweza kuongeza maziwa au unaweza kuweka maji mpaka kiwango unachotaka
na hapo unakuwa tayari kuuweka kwenye bakuri ya kufanyia bakery na kuweza kuweka kwenye micro oven kwa dakika kadhaa.
ENDELEA KUFATILIA MAPISHI01 ILI UWEZE KUPIKA VYAKULA MBALIMBALI
0 Comments