Advertisement

Main Ad

JINSI YA KUPIKA NYAMA YA SHAWARMA


 MAANDALIZI 

nyanya maji 

kitunguu maji 

tango

mahindi madogo

spinach

mafuta ya kula 

nyama 

JINSI YA KUPIKA

Unachukuwa sufuria au kikaango chako unaweka jikoni alafu unachukuwa mafuta ya kupikia unaweka kiasi alafu unaweka kitunguu maji unaacha vibadilike rangi viwe vya brown kisha unaweka nyanya pamoja na pisnach na tango kisha unaweka mahindi yako alafu unaacha ichemke vizuri kisha unaweka nyama yako vizuri kabisa.

ENDELEA KUFUATILIA MAPISHI01 ILIUWEZE KUPIKA VYAKULA MBALIMBALI. 

Post a Comment

0 Comments