Advertisement

Main Ad

VILEJA VYA TENDE

 

MAHITAJI YA KUPIKA VILEJA VYA TENDE

UNGA WA NGANO... VIKOMBE 2
TENDE....KJ 1
BAKING POWDER....KJ1 
YAI....1
CASTODE POWDER...KJ 1
CHUMVI KIASI
SUKARI YA KUSAGA/UNGA
MAZIWA KIASI
HAMDALASINI.... NUSU KJ
KUNGUMANGA....NUSU KJ
IRIKI...NUSU KJ
VANILLA.....KJ 1

JINSI YA KUCHANGANYA/KUPIKA
 

unachukuwa unga wa ngano kisha unachanganya viungo vyote isipokuwa tende na hamdalasini,iriki pamoja nakungumanga baada ya kufanya mchanaganyiko wako unachukua ngano yako baada ya kuukanda vzr na kuuweka sehem yenye ubaridi kisha unachukuwa tende unachanganya na hamdalasini,kungumanga na iriki kisha unatengeneza maumbo unayo taka ww alafu unachukuwa ngano unaiweka umbo unalotaka kisha unaweka kwenye oven na moto uwe 180 na dakika 25.
 



Post a Comment

0 Comments